The festival is currently closed.
Discover the results of the 2022 festival.
Tamasha lenye maudhui ya mshikamano
Uteuzi wa filamu unalenga kwenye mshikamano, uvumilivu na heshima kwa wengine, lakini pia kwenye ushairi na uhalisi wa ulimwengu unao onekana.
Filamu fupi za tamasha zote zinaelezea maudhui ya mshikamano.
Discover the teasers of Takorama 2022
Tamasha la filamu kutoka umri wa miaka 3
filamu 3 zenye jumla ya dakika 12.
Julia Ocker,
Ujerumani,
2017
© Studio Film Bilder
Filamu : Ant
Ants work perfectly together but a small ant does it differently.
Julia Ocker,
Ujerumani,
2013
© Studio Film Bilder
Filamu : Zebra
A zebra hits a tree and loses his stripes. Will he finally accept his difference?
ESMA,
Ufaransa,
2015
© ESMA
Filamu : The Short Story of a Fox and a Mouse
A fox chases a mouse across a snowy plain, but two owls change the course of the story.
Tamasha la filamu kutoka umri wa miaka 6
filamu 3 zenye jumla ya dakika 19.
MOPA,
Ufaransa,
2018
© MOPA
Filamu : After the rain
A faithful dog helps his master to turn sheep's wool into clouds.
MOPA,
Ufaransa,
2018
© MOPA
Filamu : Outdoors
A little girl lets a bird escape and goes looking for it with its owner.
Olesya Shchukina,
Ufaransa,
2014
© Folimage Studio
Filamu : Le Vélo de l'éléphant
An elephant discovers a billboard for a bike that seems to fit him perfectly.
Tamasha la filamu kutoka umri wa miaka 9
filamu 3 zenye jumla ya dakika 22.
LISAA,
Ufaransa,
2016
© LISAA
Filamu : Automne
Monsieur Mushroom is making autumn. Will he finish in time for winter to come?
Aurélie Monteix,
Ufaransa,
2019
© La Poudrière
Filamu : Hannibal l'éléphant
A war elephant gets lost in the mountains. Unexpected encounters will change his life.
Carlos Lascano,
Italia,
2014
© Carlos Lascano
Filamu : Lila
Lila, a young dreamer, uses her imagination and her drawings to change the course of things.
Tamasha la filamu kutoka umri wa miaka 12
filamu 3 zenye jumla ya dakika 25.
Peter Vacz,
Hungaria,
2013
© Peter Vacz
Filamu : Rabbit and Deer
The friendship between Rabbit and Deer is put to the test by Deer's obsession with the third dimension.
ESMA,
Ufaransa,
2018
© ESMA
Filamu : Ice Pepper
Two penguins on the ice floe discover something that could change the future of Antarctica.
ESMA,
Ufaransa,
2016
© ESMA
Filamu : Pas à Pas
A visually impaired person in contact with daily difficulties but also with a space of freedom.
Tamasha la filamu kutoka umri wa miaka 15
filamu 3 zenye jumla ya dakika 18.
Élodie Ponçon,
Ufaransa,
2015
© Élodie Ponçon
Filamu : White
In a world without colour, small beings create light but one of them becomes defective.
MOPA,
Ufaransa,
2017
© MOPA
Filamu : Hybrids
In the near future, marine fauna must adapt to pollution in a hybrid form.
A Danset, C. De Carvalho,
Ufaransa,
2013
© Melting Prod
Filamu : Premier Automne
Abel and Apolline are not supposed to meet, but when Abel crosses the border...
Lengo la tamasha
Lengo la tamasha ni kuruhusu watoto kugundua filamu mpya, hadithi mpya, kuona ulimwengu mpya na kutoa maoni yao, kupiga kura kwa ajili ya filamu wazipendazo.
Pia tamasha ni fursa kwa wanafunzi wote kuendelea na shughuli za shule nyumbani na kuwasiliana na walimu.
Zaidi ya sinema na elimu ya kisanii, tamasha linalenga kuthibitisha hali ya elimu ya sinema kwa kuiweka nafasi ya pamoja na fasihi na uchoraji kama rasilimali yenye uwezo wa kuandamana na kusaidia seti ya masomo; itawawezesha watoto kuona picha zinazotembea si tu kama burudani lakini kama chombo cha mawasiliano.